Ruto sounding like a jilted lover

JazzMan

Elder Lister
Ruto analalamika kwa inooro vile yule singo modher jamaa wa vitendawili aliingilia ndoa yake na kuhakikisha watoto wake wamenyang'anywa urithi ikapewa watoto wa singo modher.

He is saying the right things but with the cloud of corruption hanging over his head, I'm not so sure he is the right person to implement them.

Lakini wacha tuone nani mwingine atakuwa kwa kura. Msaliti ako pale kujitajirisha wakati nchi inaumia. Kama iko mtu mwingine anaelewa masaibu ya hustler na wafanyibiashara atasimama, huyo ndio wa kupewa kura.

Ikikosa, naona ni ruto tu anapenya. Tutaendelea kukaza rasa kusiharibike zaidi
 
Does the national govmt dictate to governors what to do with their share
Izi goal posts zikianza kubadilishwa ivi hakuna kitu ya maana tunafanya, hapa manugu watakuwa wale wale. If the National Govt. of that time implements the Bottom Up Model then it should cut across the divide starting from the Citizenry up-to the National Govt. II yaku exempt County Govt from the model will lead to a total failure of the model. Konyagi is a prime example, jamaa anakum kwa media anasema ivi ikifika implementation nobody gives a damn
 


kila mtu abebe mziko yake, after handshake everything went haywire, questioned should be was it by design or ni " hawa watu" as per dp assertions.
 
Back
Top