In the headlines

Cortedivoire

Elder Lister
Staff member
FB_IMG_16261470998307823.jpg
FB_IMG_16261470692042393.jpg
FB_IMG_16261470770972096.jpg
FB_IMG_16261470618575922.jpg
FB_IMG_16261470841652163.jpg
FB_IMG_16261470919656077.jpg
 
Watu wa World Bank wako na mchezo, wanajua ni watu wangapi wako na access to govt supplied water ndio wapush ii clause. If a whole town like Kitengela has one water point for fresh water run by County Govt, iyo tax watatoa wapi. Meanwhile, KPLC are rubbing their hands knowing WARMA Charge will increase leading to an increase in power billing going forward.

Tunasemanga Nyayo alikuwa mbaya lakini uyu kijana angepiga izo 24 yrs za Nyayo tungekuwa in sh*t literary. Miaka 10 na mjamaa ametunyorosha viproper.

-:Make better decisions when electing your representatives in the next Govt, mambo na Kumira Kumira na Tibim muache. Damn.
 
Eeeh, Aaah...kwa hivyo wawakilishi wa Wanjiku hawawezi uliza Idara ya mahakama vile imetuumia fedha ambazo wamepiga kura ipatiwe kutekelezea majukumu yake? Na kesho wabunge wakisema idara hiyo haikutumia hela vizuri wapunguze watafanya nini?
 
Watu wa World Bank wako na mchezo, wanajua ni watu wangapi wako na access to govt supplied water ndio wapush ii clause. If a whole town like Kitengela has one water point for fresh water run by County Govt, iyo tax watatoa wapi. Meanwhile, KPLC are rubbing their hands knowing WARMA Charge will increase leading to an increase in power billing going forward.

Tunasemanga Nyayo alikuwa mbaya lakini uyu kijana angepiga izo 24 yrs za Nyayo tungekuwa in sh*t literary. Miaka 10 na mjamaa ametunyorosha viproper.

-:Make better decisions when electing your representatives in the next Govt, mambo na Kumira Kumira na Tibim muache. Damn.
Pewa Jug Daniels black label
 
Back
Top