#PeoplesMarchToStateHouse

No. 6 part two of the demands is a big NO

Screenshot_2021-04-30-15-26-06-1.png
 
Right to land...ilisikika wapi....I thought it's individual effort or inheritance..I might be wrong
 
  • Like
Reactions: Gio
Hehehe keyboard warriors turnout ilikua kama capacity ya probox


Wajinga tuliwauliza hii kitu no ya saa ngapi wakanyamaza wakiona kama sisi ni informers.

Ambia watu kutakua na demo saa tatu hadi saa tano, tunaanzia a specific point A tukimarch hadi point B, uone turn out hadi ushangae.

Lakini huwezi sema tu "marching to statehouse". From where? Umoja or Kangemi? What time? Saa nne au saa tisa?
 
Back
Top