Nattydread
Elder Lister
Wamelipa bill?![]()
![]()
![]()
![]()
Of course not, lakini bar kama hizo huwa cash on order. Karau wamebebeba takings za leo na mizinga kadhaa.
Wamelipa bill?![]()
![]()
![]()
![]()
I also saw some guys at Lake View chillspot Nakuru were nabbed the other day. But for this video I failed to understand makosa yao haswa.
![]()
![]()
hehehehe, unasema kukosa pesa ni hatia Kenya hii?
Kwani makarau walikugonga wapi unakuaga na machungu hivi?
@Pamba 1, wacha 'kumondora' watu. You are guilty of offending Deuteronomy 23:1 for it says ....
Share a wall with someone who's still excited to see a radio and play music, utahangaika.
Imebidi nichukue staycation, mahali nipumzike, nikiwaza kama nitapatiana notice.
This isn't the Nairobi I grew up in. Watu hawajui kuishi na majirani.
Ni middo class ya Naxvegas.Hawa vijana wakusanywe wapelekwe Somalia to deal with those rats. Wako sawa physically................
I also saw some guys at Lake View chillspot Nakuru were nabbed the other day. But for this video I failed to understand makosa yao haswa.
Have you spared a thought for the other tenants in that flat!?enyewe shida ya hao watu ilikuwa gani? People are chilling picnicking with their families alafu wanawekwa gwa gari moja woote?
was there a flat anywhere in the clip?Have you spared a thought for the other tenants in that flat!?
Wakimaliza hizo sherehe utaenda kusafisha hapo?enyewe shida ya hao watu ilikuwa gani? People are chilling picnicking with their families alafu wanawekwa gwa gari moja woote?
i detest people littering, if that was the main reason, ni kuwashika and give them community service kama wale walaimbiwa wasafishe nairobi the other week. But let it not be the pretest of covidWakimaliza hizo sherehe utaenda kusafisha hapo?
Mbona unaficha yeye? Mwambie wewe hukaa in a five storeyed house pekee yakomy nearest neighbor is at least twenty meters away hawezi sumbuliwa na kelele yeyote
Mbona unaficha yeye? Mwambie wewe hukaa in a five storeyed house pekee yakoView attachment 34727
It's not a myth but a fact, we keep tabs on everyone hereHuyu hata anaishi kwa underground balcony huko Yenisey.