Damned tenants

Mongrel

Elder Lister
Ona vile hii mbwa iliharibu nyumba yangu? I will have to sandpaper the wall bare and repaint again, lakini no worries kwangu ni crown paints
IMG_20210423_112154.jpg
 
Mimi huwa natumia Crown paints na hio sio Siri, Hata kupiga sandpaper sio bare hands ni sanding machine
Machini nimeona ata unaweza saidia scumchieth awache kuumiza mikono. Hiyo shimo ya crown paints ni gani juu huwezi nunua kwa duka?
 
Back
Top