Leta list ya "suitable" leaders for 2022 GENa hawa ndio watu mnataka kuachia Serkal next year, Wakenya tulirogwa aki ya nani. Mafuta ikipandishwa Man from Sugoi alikuwa amenyamaza na bado anaendelea kunyamaza hakumbuki Hustlers wake, wacha campaign iresume wakimbie wakisema venye hao ni "Hustlers"