Gio
Elder Lister
Tulizitupa tukaenda Sanford. Ikúgi na baking sodaYaani mlikula makugii?
Tulizitupa tukaenda Sanford. Ikúgi na baking sodaYaani mlikula makugii?
Rectify to read, non of the above are affordable and do not apply to the general population.They will open if they see a potential market. They are businesspeople first and chefs second.
Right now, the market share ni ya Kenchic, Innscor, KFC, and Steers/Debonairs who somehow blew a very good headstart.
None of the above however have beaten nyamchom joints and kibanda which attract more customers than anyone else.
Hapa sielewi.My hirsute can't even allow me to get in there.
Hii ikugi ndio nini?Tulizitupa tukaenda Sanford. Ikúgi na baking soda
Ni potaito ambayo imeanza process ya kumea ambayo hufanya ndani ianze kuwa maji maji na ikipikwa haiivi ikawa laini yaani inakuwa crunchy kama apple.Hii ikugi ndio nini?
ThanksNi potaito ambayo imeanza process ya kumea ambayo hufanya nani ianze kuwa maji maji na ikipikwa haiivi ikawa lakini yaani inakuwa crunchy kama apple.
Viazi huwa kama yam yaani "unevenly cooked"Hii ikugi ndio nini?
Ni potaito ambayo imeanza process ya kumea ambayo hufanya ndani ianze kuwa maji maji na ikipikwa haiivi ikawa laini yaani inakuwa crunchy kama apple.