Johny walker
Senior Lister
Except watu wa malori wenye hufunga tank na padii na ata unaeza peana funguo,kalisha makende kwa gari.manze hawa watu huudhi kueka jam wakicheki vile inaekwa rwabe.Btw kama mnaona kama mnaimbiwa,There are specific pumps set to steal from you in most stations.As in vile unaingianga kwa kama shell unaona unaitwa kwa moja na zingine zina attendants,na wewe na kiherehere unajipeleka hapo unashuka kuangalia ukiinyonywa.2020 stay in your jalopies