That's how we love it , na wanajua.Paka 1 anahonga MCAs alafu anaingia slums kukejeli Wanjiku.
That's how we love it , na wanajua.
tutapitisha BBI wilingly venye kuna watu waliamuka 3 times kupiga kura na wengine wakakaa nyumbani wasipige.
Kingpins wamesema tupitishe, itatuletea pesa na constituencies nyingi.
wacha tungoje tuone.BBI and 2022 general elections are 2 deferent things,ni vile kuna watu wanakula before ndarama !