Ng'ombe ya kimilili kwani mnafumigate hio kijiji yenyu?Kijiji yetu imeingia mitini but temporarily
@Collo Midde Si ungekuja na ile hando yako ya pale kijiji aka @kodiagaKuna shida iyo side ingine so we are here temporarily. @maumau uko wapi??
niaje MAUMAU@Collo Midde Si ungekuja na ile hando yako ya pale kijiji aka @kodiaga
Sasa rudisha kasheshe huko uunde thread na screenshot kijiji ikimaliza kufanywa upgrade....