Ilikuwa amefanyiwa introduction kuwa ni kasin ya khupipi kumbe ni brayoh.funniest shit i ever read.. alafu alikuwa anatupa updates live live.. then akasema tutasoma story kwa gazeti akifungua huo mlango.. then jamaa went quiet for a whole year.. kumbe baada ya kukuliwa bibi jamaa alitwangwo karibu akufe hahaha