munaweza jibu swali yangu?? @Meria gjaseer umeweka thread alafu ukaingia kwa base ya mnazi??
Dish is okay but you need a modern decoderniko na dsthieves dish and decoder, what are my options for FTA?
Your dish needs realignmentAzam yangu ni chieth. Kwanzia asubuhi saa tatu hivi mpaka jioni saa kumi kumi hakuna signal kapsaa! Signal quality zero, signal strength zero. Siku zote nilidhani shida ni upepo unaaffect alignment. By the way huku ni Mariakani ya Kwale na kuna upepo mkali sana throughout the day, throughout the year. But, logic inasema shida si upepo wala sio alignment, kwa sababu usiku mbona inakua okay? Nisaidie na mawaidha, tafadhali!
sawa, weka jina ya the best decoder na inapatikana wapi.Dish is okay but you need a modern decoder
Thought like you at first. But then I ask myself, why does it fail during daytime only? And why is it worse when the sun is hotter? Haiwezi kuwa labda hio hirizi iko hapo juu ndio iko substandard?Your dish needs realignment
Hio ngombe ilifunga didn't fine tune
Hukunikumbusha something I was to do for you, saa hizi ndio nakumbuka mkubwa, been very busyWeka pic
Badoo hajakua sortedHukunikumbusha something I was to do for you, saa hizi ndio nakumbuka mkubwa, been very busy
Nita zama inbox we talk, acha nimalize misa zote tano kwanzaBadoo hajakua sorted
Kama myamaa hakubeba dekoda, dish na Tv yako utajifanyia alignment msoori.Azam yangu ni chieth. Kwanzia asubuhi saa tatu hivi mpaka jioni saa kumi kumi hakuna signal kapsaa! Signal quality zero, signal strength zero. Siku zote nilidhani shida ni upepo unaaffect alignment. By the way huku ni Mariakani ya Kwale na kuna upepo mkali sana throughout the day, throughout the year. But, logic inasema shida si upepo wala sio alignment, kwa sababu usiku mbona inakua okay? Nisaidie na mawaidha, tafadhali!
sawa, weka jina ya the best decoder na inapatikana wapi.
Wacha niitafute kazi kwanza , then nita kwachu moja .View attachment 24515View attachment 24516View attachment 24517View attachment 24518
Starsat X2 Extreme 4K
-15 MONTHS SERVER FOREVER PRO 134
-12 MONTH IPTV APOLLO
-Android 9.0
-Google Search, Web Browser, Email Supported
-Support DLNA, MirCast, Airplay, G-MScreen
-Support: WIFI & Modem & LAN & Bluetooth
-Quad-core Processor 3798 Hisilicon CPU
-DVB-S, DVB-S2, DVB-S2X Single Tuner
-IP AUDIO BEINSPORT / VIDEO DELAY
-KODI / VLC / WEATHER / F.TV
-4K*2K@60fpd, 10bit decoding
-Youtube / CHROME / NETFLIX
-Built-in Google Play Store
-DVB / TTX / Net Subtitle
-Connectors: RCA,RS-232
-8GB Internal Storage
-Power vu3 & Tandberg
-SUPPORT H.265 HEVC
-Autoroll Biss keys
-2 Remote control
-MULTISTREAM
-2 USB PORT
-Time Shift
-HDMI / AV
-2 GB RAM
-SD CARD
-VPN
contact @Giggz
Wacha niitafute kazi kwanza , then nita kwachu moja .