Bingwa Scrotum
Lister
Niliendanga sleepover kwa kina dem,,, huyo den alikua analala jikoni,,,wale tumelelewo ushago mnajua jikoni ni nyumba iko kando na main house na sanasana hapo ndo watoto ulala na kuku ama kondoo
..si nikaambia huyo dem ntaingia saa tano usiku so asifunge dirisha juu kufungua lazma babake asikie,, kumbuka babake ni ex military na anavutanga bangi hadi wa leo.. So kuchunga maisha muhimu! Saa Tano huyooo mimi, lazma nichunge time juu ni 1st time dem hasichange mind ama anaeza lala kumuamsha ashtuke apige nduru!! Kijana nikafika, kumbe pia ananingoja.. Mgeni nikapokewa..Kuangalia kuna jogoo na kuku zingine,, kijana wa mama hapa jogoo ndo itaniamsha 5am nirudi statehouse yangu... Unyo kwa unyo,, anabeba napokea, narudisha....wacha kamvua ianze na ni jikoni ya mabati aki niliskia nashingiliwa... Aki nilipiga kitu! Nikalala uchi. Kidogo kidogo sijui saitani gani ilishtua kuku ama ni pants, sijui, wacha kuku zipige kelele...sema baba yake kukuja mbio, kijana sijavaa kitu na hiyo wakati nguo hazionekani.. Si nikaingia chini ya kitanda.. Msichana anefungua, baba ndo huyo kwa nyumba na panga na torch,, boy child niko chini ya kitanda uchi.. Hii ndo wakati maombi utokea tu! Vile mzae aliingia kwa nyumba kuku zote mbiiioo chini ya kitanda,, wacha jogoo inikanyage mjulus, nikashtuka na uchungu, tena kuku zikapiga kelele,,mzae akasema hii kitu iko chini ya kitanda,, obee!! Niliamka niko hossy.. Tangu hiyo siku, kwa msichana ama kwa kina msichana ama sleepover ni story kwangu
Posted by Vincent Momz on facebook

Posted by Vincent Momz on facebook