Ruto apewe kupewa

Unashindwa what people think. There are a few inconvenient truths about this fella:

1. Muteshi land scandal. Alijiuzia shamba ya IDP!
2. Shamba ya JKIA na ile teargassing ya watoto.
3. Ile forest land iliuziwa pipeline.
4. Ruai
5. Forest land

Ile ujinga watu wako nayo siyo ya kawaida! The fact that they hate Uhuru ndiyo inafanya waone hii mwisi? Absolutely Bure Kabisa!
Uambie vijana ya nduthi pale Eld Maneno kama hii utakatwa katwa kama mboga
I don't know what is this politician wamepea wakenya wanawapenda ivyo vyote. Kudinywa ndio lugha wakenya tunaskia
 
Back
Top