Boss your history with animal products betrays you...
DVD na usb zinasoma,sauti ndio hakuna
DVD na usb zinasoma,sauti ndio hakuna
Niko Nyeri but mimi si mtu wa electronics bana, Try checking the connections to the speakers, fix loose connections, angalia LCD display inasema nii when playing some music, try all medium ukianza na DVD discs, all the way to the radio.Nikuletee wapi purr?
huyu ni General bonoko.General.
Kazi ya maombi kwa hii kijiko ni ya @LibertyPastor tuk tuk si you organize Huyu aombewe?
Ni special forces retired commandohuyu ni General bonoko.
Kazi ya maombi kwa hii kijiko ni ya @Liberty
Huyo ameona mimi ni dumpsite ya used stuff.... Hata hana aibu@Eye Candy i refuse to haul that ancient DVD player
Who still uses DVDs nowadays.
Chapa hizo speaker meffi RKO ununue system mzuri ziache kusumbua generali. hio ni kitu kidogo sana kusumbua weweDVD na usb zinasoma,sauti ndio hakuna
Hakuna mtu amesema mambo ya wizi. Lakini weka picha ya system hapa tuone kama hutakuwa kwa news za saa moja.Senator from matopeni,are you insinuating that I am a thief?
Usikubali kuambukizwa shida.Huyo ameona mimi ni dumpsite ya used stuff.... Hata hana aibu
DVD na usb zinasoma,sauti ndio hakuna
Ni home theater systemDVD? Kwani bado tuko 2002 ama 2020?
Mungich, priss..![]()
![]()
![]()
And I refuse ubebe vitu za bae na kilori hivi hivi, sweetie tutatafuta professional movers, you need to leave home in style,sio kilori kitaanza kumwaga oil hapo nje@Eye Candy i refuse to haul that ancient DVD player
Who still uses DVDs nowadays.
And I refuse ubebe vitu za bae na kilori hivi hivi, sweetie tutatafuta professional movers, you need to leave home in style,sio kilori kitaanza kumwaga oil hapo nje
Tulia butcher man.And I refuse ubebe vitu za bae na kilori hivi hivi, sweetie tutatafuta professional movers, you need to leave home in style,sio kilori kitaanza kumwaga oil hapo nje
Ni kilori kimekata center bolt Kama mwenyewe,hio ni aibuAma ki lorry kianze Kumwaga king pin.