Mongrel
Elder Lister
Niko na pioneer home theater system model htz-424dvd ilikuwa na kasoro ya power supply, after being repaired the other functions are back to normal Ile kitu imekataa nayo Ni sauti, fundi ananiambia haoni shida ingine ,so anaona Kama Ni setting ,unawezaje kuirestore to factory settings?
Last edited: