Msito ameland

Magreb

Elder Lister
Maumbwa nyinyi. Mlifikiria sitawapata. Msito ameingia SAA huu. Nionyeshwe pa kuosha mecho kwanza. Halafu @admin wacha upuss. I am no new villager. Mimi ni msito nipewe heshima yangu. Let's cheo faster faster. Halafu Luna ghasia niambiwe kama ziko huku:-
  1. Gashwin,
  2. Couch P,
  3. mzee mzima,
  4. M2random
  5. Na ghasia zingine zote
 
Gani hip askari gongo?
Yenye ulitutusi huko wacha kujifanya, karibu huku tulisahau matusi ktalk
309060_e3c2f9d3b7e218ae00e2a5ff615692f6.webp
 
Maumbwa nyinyi. Mlifikiria sitawapata. Msito ameingia SAA huu. Nionyeshwe pa kuosha mecho kwanza. Halafu @admin wacha upuss. I am no new villager. Mimi ni msito nipewe heshima yangu. Let's cheo faster faster. Halafu Luna ghasia niambiwe kama ziko huku:-
  1. Gashwin,
  2. Couch P,
  3. mzee mzima,
  4. M2random
  5. Na ghasia zingine zote

Tuko wengi
 
Back
Top