Tiger Bone
Elder Lister
@Wakanyama kuja ona Okiya analeta compe
Nyoka zitatii vile zitageuzwa fillet at cheap 250/kg@Wakanyama kuja ona Okiya analeta compe
Wewe unahitaji recipes pia !Which fish? I really like and will place an order soon.
But why Fridays and weekends?
Tafuta MTU wa boda akufanyiange deliveries. We don't mind a small delivery charge since the price is fair.
Za uganda ni kubwa na tamu zaidi?@Okiya, if you can source tilapia from lake Vitoria uganda, hata biashara ya nyama utawacha, kuna tofauti kubwa sana tilapia za lake Victoria Kenya na za uganda.
@Mongrel ni mtu wa mitura na matumbo ya mbuzi.. no competition here@Wakanyama kuja ona Okiya analeta compe
Huku kwa Wa Iria hatuwezi pata juu ya distance
There is a Woria place i buy from in Eastleigh, 600/kg ya tilapia, fresh fish ever, i even stopped buying from city market. Each time am within the area, i buy a kg or 2.L victoria Nile Perch
Kwani walimu wote wali hamia kwa wairia?Huku kwa Wa Iria hatuwezi pata juu ya distance
Hehehehe walimu wangani afisa Pamba.Kwani walimu wote wali hamia kwa wairia?
I can give another example of someone who does mainly online sales...check out kabuda's kitchen
There is a Woria place i buy from in Eastleigh, 600/kg ya tilapia, fresh fish ever, i even stopped buying from city market. Each time am within the area, i buy a kg or 2.