1st August 1982.

ulevi ya hawa jaruos ndio ilisaidia Moi... hapa senate najua wengi wetu tulikuwa hii dunia tu.. hata wengine walikuwa washaanza kutafuta dirty tities in their 4wd double cabin v8 nissan datsun
Anakuja. Na sijasema ni guka.
ungepatikana na hizi bila receipt receipt ungekamuliwa hadi settings mbaya sana, msako ilikuwa inakupata kwako.
Nakumbuka 1 of my cousins akilia akiuliza kwetu ushago ni wapi tuende...
A neighbor was jailed for several years coz of such. Alikua amebeba TV ya Telefunken.
 
Anakuja. Na sijasema ni guka.

A neighbor was jailed for several years coz of such. Alikua amebeba TV ya Telefunken.
We had boombox of that brand--exactly like this one. My Mom had a hand made knit kitambaa to keep dust off.
 

Attachments

  • cassette player.jpg
    cassette player.jpg
    6.8 KB · Views: 112
Back
Top