Watu ya Ruto namaliswo

it will come to pass,kuteseka ni kwa muda,yaani Uhuru ako na guts za kuacha our enemies to laugh at us,?
IMG_20200512_165741.jpg
 
Hehehehe mwaka iko karibu kuisha. Ile siasa itaanza 2021, ni Kila mtu ajitafutie. Peter Kenneth anataka apewe through pass ya mantle ya mountains, PS Wairagu anataka gafana Muranga, Kangata , Sabina,pia wanataka. Zack Kinuthia kanataka kujaribu Kigumo.
But in the last two months, kazi kwa ground imekuwa ikifanywa, barabara mingi zimeanza kujengwa. Most MPS are on overdrive, most wanajua Wanjiku ataangalia kazi. 80% watapata shida kurudi.
So in short after one and half year, kieleweke na Tangatanga watamenyana kwa ground.
 
Back
Top