Weh, hapa ukijaribu kufungua general shop unakutana na leseni kama 12, kodi ya miezi sita, na bado unadandiwa na mafisi kama D minus wakitaka kakitu kila siku.
Lootall anatuahidi 100b akiingia, swali ni wapi atatoa hizo pesa saa Hii hazipatikani?