Kenyan Hip Hop Heads
New Lister
Rick Rhoden
Najua watu wengi mnajiuliza huyu Rick Rhoden ndiyo nani? Acha niwaplug. Are you an upcoming artist struggling to make your music? If Yes, then unafaa kujua huyu champe. Lakini before that, Rhoden anajua ni nini msanii underground ana-lack ndiyo mambo yake ikue sawa. Na hii ni: doh ya audio and video production na za marketing to promote your work. Knowing this,acha tumjue Rick Rhoden ni nani.
Rick Rhoden was born and raised in New Jersey, USA na baada ya college, alijoin US Military where he served for almost 15 years, including deployments to Iraq and Afghanistan.
Akiwa bado huko kwa military, aligundua anaweza andika wimbo. This is 2010. What makes this funny ni eti Rhoden alipata Manager amwuzie nyimbo zake but huyo manager akatoroka na $900 (Ksh 116,000).
"I had a friend who was a musician and when I told him how the manager had conned me, my friend said he would buy my song for $1000 (about KSh 129,000). So I got even more than I had lost to the manager," Rhoden said in an exclusive interview with Tuko.
Kuanzia hapo, Rhoden alianza kuuza songs zake at $1,000 and by 2014 alikua anapiga mziki kama biz.
Huyu champe alikam Kenya in 2020, kwa mara ya kwanza. This is after he founded another music production label Digital Underground Africa Productions. The mission of this label was to focus on growing unknown African musicians.
Behind The Scenes (Rick & Exray)
Aliamua kupeana financial and managerial support to underground artists ambao hawaezi fund their music career. Rhoden alidai eti, hapa Kenya hua tunaona same faces za wasanii in the music industry.
"In Kenya, you see the same musicians over and over," Rhoden said.
Rhoden pia alidai challenges ni mob sana but ako determined kupush artists wenye wako na shida ya funds. His main areas ya kuhelp ni kama hizi:
- Music Production
- Marketing
- Branding
He has already worked with Exray Taniua kwa doba yao "Forever Ill Win" na imepiga 320,000 views pale YouTube. Unaweza icheki hapa.
"I’m looking for artists who are talented but don’t have the outlet to release their music or put out a video,” Rhoden explained his mission.
Rhoden amedai ako ready kupiga job na kila mtu. Kama uko interested kufanya music na yeye umtumie demo hapa: [email protected]
Kazi kwenu wasanii. Shida kubwa kwa wasanii ilikua funds, branding and marketing strategies. Rhoden amekam through kupolish hizo sector so ni kazi yako uipange na kuifanya kama biashara.
"Artists need to start treating music as a business. Without investing in marketing, even great songs remain unheard," he concluded.
#kenyanhiphopheads