Were it not for the flu:

Tungekuwa tumemaliza kujenga stadium

Tungekuwa tumemaliza kuweka maji Kenya yote

The economy would be growing at 12%

Tungekuwa tumemaliza kujenga 500,000 houses by the end of year

SGR ingekuwa profitable kulipa loan

Manufacturing ingekuwa on the up and up

Isipokuwa ni corona and other Jubilee promises....
Kiongos umekuwa wapi ?
 
Back
Top