Sijui kama umewai guza nguruwe uskie venye the hairs on its back are like thorns. The hide is tough. Hii kitu ikikupata wewe kalia pump hapo juu upige nduru kama mwanamke.
Rongai bana. Hii ni ile petro station iko karibu Masai Lodge turn off from Magadi Road ama? huyo jamaa moja alipigwa tackles kama tatu na ako na fimbo. lakini hiyo kitu sio mchezo bana