Stoopid Boy To Be Rehabilitated

Wajukuu wa wahenga huitwa wagenge, nao husema "Usikue mjinga ukaita Stoopid Boy mjinga". Mafans wa Gengetone na Urbantone mnatambua huyu boys. Wherever you hear his name, kuna track inakam kwa mind. Hii doba alifanya na Lyetin na Dalo Yoyo inatitwa G Bug Na Jug na iko 1.8 million views.



Verse ya Stoopid ilikua na utata hungejua ni diss au vipi. Kuna mahali alisema "eti best rapper wa Kenya ni khaligraph Jones wakati Octopizzo ako raundi New York." Hatari na bado alirusha mawe kwa Pozee. Remember the viral line? "Madem wamepararaa kama madancer wa willy Paul". Ilitesa sana hadi wazito wakaitisha remix. These are the artists kwa remix:

Stoopid Boy

Mejja

Breeder LW

Gody Tennor

Spoiler


Kuna mafans walikula mori juu hizo track zote ziko kwenye YouTube channel ya Kipawa. Most of them suggested that hizo tracks zingemsaidia sana ku-strengthen fanbase yake if he was allowed kuiweka kwa account yake. Juu ishapiga 6 million views pale YouTube. Do you agree? Pia tunahope alipata ganji kiasi kwa hizi project coz vile life inampeleka sahii ni noma.






Recently we saw videos of Stoopid Boy akiwa maji kuruka. He was Tipsy ungedhani yeye ni G. Bars. It's said that hua anakunywa daily and this might be the reason why his music career ilianza kuyumba. Acha niku-plug na uhondo. Stoopid Boy ni msee wa ghetto. Masomo yake aliachia class six, not by choice. His parents couldn't afford school fees and daily needs as he told Radio 254.


He said in an interview that his mother and father are both musicians and it all started from his granfather who was also an artist. So haikumshtua yeye kua msanii coz alianzia primo akipiga drums na kuimba, though watu hawaku-appreciate his talent back then. He continues by saying that amechoka kutoa mziki na siyo ego wala maringo, ni kuchoka tu. He sarcastically says that, he'll continue doing music na siyo juu ya pesa wala fame. As he's talking you can tell he's struggling with something. What can it be? Alcohol? Love life? Or fame?





Stoopid Boy started his music kitambo na watu wengi tulimjua through Eve Mungai kwa zile Beef ya Mbogi Genje na Gotta City. Mnaikumbuka? Ukiangalia Stoopid Boy wa hiyo time na wa sahii kuna difference kubwa sana coz sahii kiafya hayuko poa.


He appeared on Oga Obinna Live and by the look of things, it was a cry for help. He said music without education gives him depression. He said he's ready to go back to school or rehab. This was the first step he took. Alijikubali na sahi anataka kusoma na kua sobber. He explained why he hated story za madem. He had a wife once and one day she ran away leaving him with his two kids: Patricia and Dior, his son and daughter.


Hapa ndiyo Stoopid Boy alikubali waende rehab. Oga Obinna teamed up na Castro and King Pheezle kumpeleka raundi pale rehab aone vile inapolea before he decides what to do.






While at the rehabilitation centre, Stoopid Boy talks to Jacky Ogaga on Obinna Tv Updates about his agreement to be rehabilitated. Amesema kwamba he talked with King Pheezle, his producer, Castro and Obinna on what to do before he goes to the rehabilitation centre na akafikia msimamo wake.


"Ndiyo niingie rehab, na nikue proud ya kwamba niko rehab, lazima mziki zangu tano ama album, zikue kwa internet ndiyo nikae sasa." He told Jacky Ogaga.


"Lazima niwekelee kazi, zikiendelea kuchezwa huko nje, mi nimetulia huku. Alafu sasa nitoe tena kazi moja ya mwisho ndiyo nitoke huku sasa. Hiyo ndiyo kazi yangu hii mwaka. Hii mwaka, I think, nafaa kutoa ngoma saba, na ya nane sasa nikitoka huku. Hiyo ndiyo ilikua plan yangu by the way." Stoopid Boy added.


Jacky asked him if wamekubaliana na Obinna and Castro on these agreements he has and this is what he said:


"Hiyo huitwaga men talj. Lazima tukae chini tukubaliane." Stoopid Boy replied.


He aliendelea na kusema he has like two weeks hivi ndiyo aende ku-report rehab. He is going use this time on writing his music. Then he'll report after finishing his music.


Stoopid Boy's advice to those who are struggling with drugs or drinking:

"Kama unadai kudu kitu, do kitu, na kama unadai kukua mavitu, kua mavitu juu kila kitu chenye unadai do kabla huja-die"


JUST FOR FUN:

Jacky Ogaga: Do you believe that one day one time utakua drug free?

Stoopid Boy: sidhani!

Jacky Ogaga: uuh? (Surprised)


Stoopid Boy amekua clever. Ametupea difference ya Gengetone na Urbantone. Amesema Gengetone ni mziki inaimbia madem, haga na pombe pekeake. In the other hand, Urbantone ina flow fiti ya story, na poetry. Alitumia example ya verse yake kwa G Bag Na Jug alafu na chorus ya Sailors Gang "wamlambez, wanyonyez..". He said that flow za Gengetone ziko same. Kuanzia kwa ngoma za Rekless. He also talked about Willy Paul and Bahati's collaboration and termed it as a good decision to grow the industry. The only problem ako nayo na hizo nyimbo ni part ya video yenye walishoot majuu na haikai majuu. What's your opinion?


Jacky Ogaga: ulisema maybe pombe ndiyo ilikua your wife?

Stoopid Boy: sindiyo, si niko proud. Sahizi Obinna na kina Castro wanataka kunitenganisha na dem yangu, wananiharibia nyumba.

Jacky Ogaga: surely (laughing)





Stoopid Boy aliulizwa kama amechapiana na mama wa kwake na family ndiyo akam rehab akadai hiyo story yote haiwahusu. Alipoulizwa kuhusu mamaz wa kwake, akadai hana mtu. Jacky asked him about the girl he introduced to us sometimes back, she was a good rapper pia. Stoopid Boy alismile na kusema huyo ni joker, tumwache acheze cheze.


Kulikua na fununu about his girlfriend kumcheza. He was even captured on video akiongea na hasira about her girl kuishia na boy mwingine. Or could this be the reason akaendea tei sana? Haikuagi rahisi ukiachwa na your love.


Stoopid Boy adviced mafans to set their dream and incline their eyes on it. Aliendelea na kusema, mtu akipanda ndege hushuka, na mtu akiingia rehab atatoka. Challenges made him discover many things that he has never known and he concluded by saying that God's time is the best. We wish him well.
 
Not sure where I first heard that track but the beat, taken from 'Sexy lady' by Shaggy took me back to some nice teenage memories and was pleasantly surprised that those behind the gengetune track were talented. Sad to see such talent go to waste. Watu wamkubali Yesu kwa mioyo yao bana.
 
Not sure where I first heard that track but the beat, taken from 'Sexy lady' by Shaggy took me back to some nice teenage memories and was pleasantly surprised that those behind the gengetune track were talented. Sad to see such talent go to waste. Watu wamkubali Yesu kwa mioyo yao bana.
Manze, dope talent. We wish him well
 
Back
Top