Siwezi vunja kikombe peke yangu...

Uhuru alitaka Rao aingie kwanza ndio aweze jua Ground vile iko.
Uhunye alkua anakumbka vile alishambuliwa Twitter akajua huko hawezi enda.
kuckia kume nyamaza ikabidi aingie ajione vile kuko.
kumbe Rao naye alikua rada ya Uhunye akamngojea apo tu kwa mlango ndio waingie pamoja.

lets hope time ya Referendum, watu watawachapa vile watu wanawachapa kwa social media.
 
I would be most happy person to see the two with their tails between their legs
 
Back
Top