ningelikua mtafunaji wa mairungi ningeliacha after kuona hii video. they are using dirty water with all kinds of cheap soap and acids to "sanitize" the vegetable
View attachment 9253
Hiyo hata ni ku sanitize kweli? even cars are washed better than thatningelikua mtafunaji wa mairungi ningeliacha after kuona hii video. they are using dirty water with all kinds of cheap soap and acids to "sanitize" the vegetable
View attachment 9253
Ni refrigeration....sanitizing ni wewe na watu wenu.Hiyo hata ni ku sanitize kweli? even cars are washed better than that
Mjamaa achana kwanza io maji wanatumia, bacteria you can deal with it easily, tell me About the pestcides they use? Au pia wewe huosha ketepa na izo nappier na sabuni kabla uzikule?Hata wakiweka ratrat bado tutakula
Kuna mahali nimeambiaa jamaa kutafuna hii kitu ni kama kunywa maji ya sewage akasema naongea mbaya..................ningelikua mtafunaji wa mairungi ningeliacha after kuona hii video. they are using dirty water with all kinds of cheap soap and acids to "sanitize" the vegetable
View attachment 9253
Mjamaa achana kwanza io maji wanatumia, bacteria you can deal with it easily, tell me About the pestcides they use? Au pia wewe huosha ketepa na izo nappier na sabuni kabla uzikule?
At least mboga itapikwa.Ukiona mboga zimepandwa na maji ya sewage na wewe hula utasema nini?
True but ukiiona ikimwagiliwa hio sewage appetite itapotea. Cha msingi ni usione mahali food inatoka. Ata ukimwona bata anachokula hutatamani kumlaAt least mboga itapikwa.
In all hotels huwezi ingia jikoni.True but ukiiona ikimwagiliwa hio sewage appetite itapotea. Cha msingi ni usione mahali food inatoka. Ata ukimwona bata anachokula hutatamani kumla
True but ukiiona ikimwagiliwa hio sewage appetite itapotea. Cha msingi ni usione mahali food inatoka. Ata ukimwona bata anachokula hutatamani kumla
Aiii...hiyo so sanitizing. @Introvert you see why I told ya that the character so classmate..