Salamu za Usubuhi

The.Black.Templar

Elder Lister
Staff member
Juzi wakati hii mvua ilianza nilikuwa kwa hii mall kutembea tuu.
20191130_184739.webp

Ghafla bin Vuu mvua ikaanza. I guess nobody was as shocked as the.black on that fateful night. Mvua na maji ilikuwa kwa wingi mno sana. Niliingia kwa duka zote nikingoja ipungue kiasi nitoke rubber hadi kwa stage.

Mahn it took so long kufika tao banae...and it took even longer kufika hadi Thika road manze. Ni ukweli mtu anaweza drown tu kimchezo hapa nairobi.

Sunday kwa church unapeana hekaya watu wanacheka wakiona vile uko na jokes mob sana.

Anyways, maisha ni experiences ama namna gani :D:D
 
Back
Top