Maisha wa watu wanaishi areas around the park huwa disciplined sana. Huwezi sneak SQ usiku kuotea maid, hakuna kustroll kwa hacienda usiku ati fresh air, huwezi tembelea neighbors usiku ati mkunywe busaa. Yaani kila saa uko rada juu unaweza kuwa kitoweo ya simba jike any time.