Rao

Niaje mzito ile kifaa ya Elon Mursk iko timam....
Sijawahi assemble nilinunua juu ilikua on offer nikadhani hio offer itaisha bila kujump on the train (but naona jumia na naivas) wanaendeleza like someone had pointed out kshs 6500 ukiwa pekee yako using it intermittently seems a little expensive hii inataka people in the house all the time and pushing the limits ama atleast a neighbour or two unasambaza then sub divide the costs. But nimeona wametoa offer ya kshs 1300 for 50gb .
 
Back
Top