Police say new uniforms are ugly and of bad quality. They prefer the old ones. Ata wahalifu wanalalamika rada zao hazishiki poa na hii uniform mupia. Ati kitambo unapata alarm pamba akiwa 1 km away. Siku hizi mnasalimiana kwanza kabla ujue nikumoto.
The colonial outfit is complaining about outfits that it has been outfitted with by a neocolonial outfitWhat is this colonial outfit complaining of?
Police say new uniforms are ugly and of bad quality. They prefer the old ones. Ata wahalifu wanalalamika rada zao hazishiki poa na hii uniform mupia. Ati kitambo unapata alarm pamba akiwa 1 km away. Siku hizi mnasalimiana kwanza kabla ujue nikumoto.
I would like to see you in it.Inafanana na ya women guild wa pcea.
Hio Ni madharau banaInafanana na ya women guild wa pcea.
Kwanza kuna artificial shortage kuna mtu ana import kutoka India na haijulikani ni nani supplier.MTU amenusa tender hakuna mambo ya feedback.
Ni ukweli mnajishonea?Kwanza kuna artificial shortage kuna mtu ana import kutoka India na haijulikani ni nani supplier.
I thought walisema itashonwa na NYS, wakatoa nyama kwa mdomo wa pumaKwanza kuna artificial shortage kuna mtu ana import kutoka India na haijulikani ni nani supplier.
Ndio unaskia Bolice wanajishonea wakingoja mwenye tender a supply.I thought walisema itashonwa na NYS, wakatoa nyama kwa mdomo wa puma
They will supply a bill, adjusted for inflation.Ndio unaskia Bolice wanajishonea wakingoja mwenye tender a supply.