Okiya, Hii unapika aje

Cabaye Captain

Elder Lister
EfsdfrPXsAEcq5w.jpeg
I dont cook them this good
 
my 1st time kukula omena, i was in form 2 2nd term manze, diet ya shule ni githeri na ugali(na nyama moja) interchanging. Jua ya August imetuchapa hadi kwa mfuko hauwezi fika hata canteen. So this lucky day, tumepewa punishment ya kuosha DH before watu waingie lunj time wabonde githeri. This day kuna form3 dim eye alikuwa ametoka home na alikuwa amesunda omena the previous day. So that day sisi tukiwa punishment, yeye alikuwa ameingia kitchen akalambisha cook za mecho, cook akakubali apikie omena nyuma ya DH/Kitchen na akampea everything(sufuria/kitunguu/mafuta/nyanya). Msee akazichangamkia mbaya sana akapika hadi sembe. after kupikaa, msee akajiandalia food poa in readiness of a kings meal....... hehehehehe, bahati mbaya kwake, principal akatokelezea hizo area code ikabidi msee atoke mbio. At the same time mimi na arif(punishment-mate) tukapita mahali msee alikuwa amewacha omena zimekarangwa kama KEMPINSKI STYLE na sembe manzee! sema kuzichangamkia, that day we had a party manze, omena has never tasted sooo goood. Sasa Ogola sijui vile alirudi kuangalia omena zake alifanya nini, we left that school with that our story.
 
Back
Top