leta mbishaNyandarua county kumenyesha usiku mzima.very cold
nataka mbisha mtu wangu.sub county bado kunanyesha
Rafiki zaView attachment 1539 @Pamba Hawatambui mvua wako job eastern bypass Kama kawa
Umeona Kilimani vile kumeflood? Hizi vitu sometimes huwezi epuka.Kama unaishi budalangi kangundo road you must be cursing the broker who sold you that peace of ocean.
In 001 slight showers at night saa hii jua imekuja na majiraniNot even a single drop of rain in my location
Freaking hot
Ilinifanyisha kibarua jana jioni na leo asubuhi.Umeona Kilimani vile kumeflood? Hizi vitu sometimes huwezi epuka.
twa twa na mboch?Leo ni kukaa indoors whole day sitoki.
Twa twa ndio itakuwa mofire.