Ngimanene Na Malege
Lister
Hii tabia ya kupeleka watoto rugongo Christmas kisha mnawaacha na sista ama bratha zenyu wako huko bila kuacha pesa za kutosha for them muache. Ati tumewaacha tutawakujia tarehe moja, so they have a week huko after sikukuu. At the very least aacha pesa zao za maintenance na pesa for your brother's ama sister's wajivinjari even as they look after your brats, wakuwe na pesa ya nywele, kununua nguo na kununulia your brats vitu ndogondogo ili wajulikane pia wao wako na uwezo, nguo za kulipa mamafua na kadhalika ili wajue nikiachwa na Liam kwina kirathimo hau. Lakini kumuacha hivyo fuaaa juu ulikuja na shopping ikome angalau mpee 20K za kuangalia Liam na hizo zingine ni zake usiulize maswali mingi pia wao wako na mahitaji na hao mahitaji itatimizwa kwa kuangalia Liam.
The same way ukifanyia mzazi shopping, hufai kununua chumvi. Aliye na maskio askie
The same way ukifanyia mzazi shopping, hufai kununua chumvi. Aliye na maskio askie