Kenyan Hip Hop Heads
New Lister
"Wiki mbili na nusu nadhani, nyuma, tuliongea na Mboso na aliniomba, aanze kujisimamia na nikampa baraka zote." Diamond Platnumz told Millard Ayo on an interview.
Mboso amenaliza miaka mitano kwa WCB kweli? Acha niku-plug na uhondo sasa.
Mbwana Yusuph Kilungi, popularly know as Mboso, alijiunga na WCB mwaka wa 2017. Being a former member of a band that was dropping hits after hits, Yamoto Band, his talent was unmatched. He was poetic in every line he wrote and this made him stand out among many Eastern Africa artists. Ni kijana mpole, hana mambo mengi as Diamond said.
"Na Mboso ni mdogo wangu, kwanza mimi nilikua nampenda na watu wengi pale kwenye label wanajua." Diamond Platnumz said while insisting that he has never been in any argument with his favorite artist Mboso.
"Mimi na Mboso hatujawai kugombana, na kama tushawai jibizana, ni kwa maendeleo ya kwake." He said.
It has always been like a taboo for Wasafi artists to quarrel with Diamond Platnumz, their CEO, over payments that one should pay before leaving the label. Mboso amebadilisha haya mambo. Ameachiliwa kwa uzuri na ameambiwa anapendwa zaidi. Unakumbuka ile zogo ilitokea time ya Harmonize? Hatari. Stories zilitokea mob but we're happy they came to an agreement, that's still not vivid.
"Nikamwambia, kwa jinsi ulivyonipenda, ukaniheshimu, siwezi nikakutoza hata shilingi moja." Platnumz alibanja akirudilia ya kwamba waliheshimiana sana.
"Tayari ashamaliza process na ameanza kujisimamia rasmi, hata show aliyokuja huku amekuja rasmi kama show ya kujisimamia.
So lazima tumuunge mkono, tumsapoti, ataendelea kua familia ya Wasafi, na naendelea kuwakilisha kwamba, nitaendelea kumpigania.
Ni wasanii wachache ambao wanaweza kutumia hekima hiyo. Mboso alikuja akiwa tayari kulipa." Diamond narrated on the interview.
"Kama kuna sehemu basi nilipe.." this was Mboso's statement as narrated by his former boss, Diamond Platnumz.
Diamond said that he didn't want Mboso to pay because they were more a family now and the respect Mboso had was enough for him. He added that ingekua ni msanii mwingine ambaye wamesumbuana naye kule ndani WCB, lazima tu angelipia. Sijui kama Harmonize na Rayvanny walikua wanasumbua. Judging from his words, lazima walipitana mahali.
"Mapenzi niliyo nayo kwa Mboso, kumtoza hela itakua ni aibu kwangu, angekua ni mtu mwingine ambaye hatujaheshimiana aah hela unatoa.." Diamond siad smiling.
Diamond Platnumz alisema ya kwamba, Mboso ni kama familia ya Wasafi, mtoto ambaye ameoa na ameanza kujitegeamea. Ila bado yeye ni familia. He's still considered family na hakutaja Rayvanny na Harmonize kama family. Komosava hit maker alisema hivi, Mboso ni mdogo wake na wataendelea kuwork pamoja, na atakayemguza Mboso, amemguza yeye. Diamond yupo ready kupambana na mtu yeyote atakaye msumbua Mboso.
Master J alikua na maoni yake pia kuhusu Mboso kujiondoa kwa WCB Wasafi. Alisema kwamba, kama Mboso alijiondoa kwa uzuri then yeye anamtakia kila laheri, na kama alitoka kwa ubaya pia bado anamtakia mema. Ila akasisitiza eti, Diamond Platnumz hua na rungu la fitna. Ana umbea au ndiyo mushene?
Do you think it was a good move for Mboso to leave Wasafi?
#kenyanhiphopheads
Last edited: