mawell mwiti leo unachomea pesa pande gani?Sijawahi ona speed check kwa hiyo barabara. Inakuwanga wapi? Huko huwa nafinya mbaya kumbe.
great rd
very little traffic
speed cops, dont overdo it watakupata udondoke.
View attachment 3056
Succeed newshape with cruise control
Sijawahi ona speed check kwa hiyo barabara. Inakuwanga wapi? Huko huwa nafinya mbaya kumbe.