Na umeonea mbali kweli. 1st half na wametwangwa kama wheelbarrow movement huko Murang'a...hata wakisaidiwa wanaona moshi wa rapid fire.
Huyo ni gooner mwenza.@Okiya definitely doesn't like this one bit.
good luckLondon is RED
Cavani in-bound.Naskia ati buyer wao aliambiwa anunue wasee akaleta wazee.
Haiya! Liverpool nayo on unfamiliar territory?