Ni Masikitiko Makubwa kwamba tumepoteza madereva saba baada ya kuvamiwa na waasi Congo Ukipita Mambasa mahali panaitwa Nyanyaa ukielekea Bunia... Tunawaomba madereva wote, walio mpakani kuelekea Bunia wasitoe Magari hadi Usalama utakapoimarika...
View attachment 77534