Ngimanene na Muchere
Elder Lister
Huyu Beldina alikuwa anataka kufungua otel kwa mabwenyenye huko Karen, na akatafuta land, 2 acres na loan ya mita 6. Akafungua otel kwa mabwenyenye na yeye hakuwa mmoja wao, alikuwa hustla outsider. Sasa hakuomba mabwenyenye wa huko radhi na baraka na wao wakaamua lazima tufukuze huyu outsider. Who does she think she is, anakuja na haombi baraka kwetu. Na hivyo ndivyo mita 6 zilikunywa manji. Mabwenyenye hawakuwa wanataka hustla kati yao.