Mwalimu-G Elder Lister Feb 13, 2025 #1 Hawapendi kurudi kwao? Si yule mwingine alioa huku na akanunua shamba Narok?
Tiiga Waana Elder Lister Feb 13, 2025 #3 Maisha ya Kenya iko sweet na ya kupendeza Wadau. More so ukiwa na pesa na hakuna struggles. Weather especially inafanyaga mtu kutulia tuli kama maji ya mtungi. Kenyans always take for granted what we have right there.
Maisha ya Kenya iko sweet na ya kupendeza Wadau. More so ukiwa na pesa na hakuna struggles. Weather especially inafanyaga mtu kutulia tuli kama maji ya mtungi. Kenyans always take for granted what we have right there.