Enyewe Bradley ameomoka kama amefika Dubai...hapa Kenya mwenzake Goliath wa Bungoma sasa anaomba serikali imsaidie aomoke mara moja.
Goliath wa Bungoma hataki kufuata process, ametafutiwa kazi lakini uvivu ndio ako nayo mingi sana.
Goliath wa Bungoma hataki kufuata process, ametafutiwa kazi lakini uvivu ndio ako nayo mingi sana.