Kumbe huku ndii mlitorokea?

I was wondering where people like @Introvert @couch waru and @Nattydread walienda. Good to be here and see you again. Continue..............
Enhe, kumbe ulikuwa ule upande mwingine? Ukipitia hapa sugua vizuri kati kati ya kinyambis na vidole vya mguu. Hatutaki chawa na kunguni wa kile kitongoji duni.

717px-Cattle_tick_treatment.jpg


.
 
Haaaa! Huku ndio uko.... Last time I saw you ulikua uko na emotions kazi ni kutusi watu tu.

Nimejisugua hadi nikatakata kabisa.
Watu wakipewa maneno walikuwa wanacatch wanaanza umama na matusi wakidhani hao ndio wako na monopoly. Singebembeleza nyang'au. Bonobo lazima itiwe adabu.
 
Back
Top