Kulala kwa Jam

I noted that the traffic on Waiyaki heading out town yesterday morning and Friday evening
was a lot. This is the result on Naivasha road as nigas rush back to the concrete jungle...
 
Shida huwa bonobos who in their wisdom decide to overlap on a one way road. Sijui huwa wanafikiria traffic from the opposite side itapita aje. If I were a traffic cop, nikikupata unaoverlap hivo tunakaa na wewe mpaka jam iishe.
If we were a serious country, the traffic fines overlappers wangelikuwa wanalipa, hakungekuwa na haja ya kuweka ushuru kwa mkate...

Lakini Ndii Maina angenona zaidi...
 
Shida huwa bonobos who in their wisdom decide to overlap on a one way road. Sijui huwa wanafikiria traffic from the opposite side itapita aje. If I were a traffic cop, nikikupata unaoverlap hivo tunakaa na wewe mpaka jam iishe.

Policing stupidity ni ngumu.
Sth similar happened around Makuyu area some time in Feb. Cops gave up and left. Jam ilifunguka kitu 8hrs later after watu walijipanga wenyewe.
 
I like this. Police should never attempt to interfere with stupidity. I pitied them traffic cops jana. Walinyeshewa for hours trying kusaidia watu hawasaidiki. When jams caused by overlappers get decongested, it somehow justifies their actions. Inafaa watu walale wiki kwa jam.
 
Hapo instant fines would work like a charm, ukitaka kuweza watu make it costly and swift. It works for Chamas.
Or traffic cops be given special rungus za kupasua windscreens. They just wait until kumeshikana then when everyone is completely demobilised waanze kugonga zote ziko wrong lane. Remember when akina @Meria attempted to block roads using turelas during a protest? Cops walianza kung'oa number plates wakafungua faster faster.
 
Is it true kales hawananga akili?
 
Back
Top