Why have you thought of senators??hiyo ikipigwa senators si next ni heart attack mara moja
Why have you thought of senators??
I have to be. Tuktuk work takes me there. I do not want to get robbed of my tuktuk(s)Chancellor wa TukTukstan hapo juu is worried Meria Magdalene amekipata kule kisauni akizunguka na ile robe yake fake ya kiislamu
Tuktuk kanaekewa mawe hapo mbele inaanguka......unabebwa pamoja nayoI have to be. Tuktuk work takes me there. I do not want to get robbed of my tuktuk(s)
Tuktuk kanaekewa mawe hapo mbele inaanguka......unabebwa pamoja nayo
Tuktuk kanaekewa mawe hapo mbele inaanguka......unabebwa pamoja nayo
Mnajua kuongea na mkileta unairobi Mombasani ni mimi tu tawabeba....you will pay double I kid you not
Mnajua kuongea na mkileta unairobi Mombasani ni mimi tu tawabeba....you will pay double I kid you not
Bado anazunguka, ngojea atafika hapa any time....
Na kuvaa new sandals and sun hats setting themselves up as watu wa bara. Plus lots and lots of English...tunawaoneanga Miritini tunajua harufu ya kitunguu itaenea mpaka base kwa Karisa..Alafu watakuja na ile kiherehere ya Bara ya kuvaa jacket juu ya safari ya mbali alafu ukimwambia vipi Sista, twende zetu mtwapa daa anaanza kuwa confused.![]()
Na kuvaa new sandals and sun hats setting themselves up as watu wa bara. Plus lots and lots of English...tunawaoneanga Miritini tunajua harufu ya kitunguu itaenea mpaka base kwa Karisa..
Like some two characters who had come to buy a second engine...if they ever tell the story,they will say t met one of the best tuktuk drivers ever in Mombasa. Kawachukua Modern Coast,kawapeleka Stadi wakapata room,mi nikapewa za macho after wamelipa hapo reception.Keshoye mimi huyo nimewapeleka raundi mwenda Majengo,Sidiriya,Guraya...then to the shop I knew someone. Wakanunua engine,kapewa zangu. Kawapeleka wakatuma engine MC. Jioni ndo mimi nimewapeleka Zeituni...kawachukulia company mpaka Mtwapa kwa DJ Johnnie Lambada,wakapewa VIP treatment.
By the time they left the following day,this niga was many sausands richer and well taken care of.
Nawahurumianga saa zingine...
Naelekea katanga Padre.Bado anazunguka, ngojea atafika hapa any time....
He he...hiyo pickup ilitumika kama technical vita vya Katanga?Naelekea katanga Padre.
Niombee.
Huku watu apan tambua Rona.
They've seen worse in Ebora.
Very possible.He he...hiyo pickup ilitumika kama technical vita vya Katanga?