Hii game iko channel gani?
Niliangalia schedule mahali nikaona kama ni leo. Ahsante.Awa it seems umetembelea shambani kidogo kutafuta ile kitu.
Tayari uko kesho. Anyway game ni kesho. Perhaps ile channel ya Ule presenter alikua anaitwa Betty Kathambi will air it.
View attachment 32300
Niliangalia schedule mahali nikaona kama ni leo. Ahsante.
Wish fans could go. Nakumbuka gama fulani vs Nigeria pale Kasa where we lost 1-0.
Hiyo siku nilijua wachejazi wa kulipwa ni mo-fire. Wanyama na Obi Mikel were miles above everyone else but vile bao ya Naija iliingia, aki ya nani ata ungeshuta kila mtu kwa stadii angesikia. Kimya nayo!
Haha hawa ni wazito wa 90s. Hii ilikuwa probably 2014/15 hapoWas Sunday Oliseh playing alongside Tijan Babangida and Celestine Babayaro, Uche Ukechuku, Taribo West, Rashid Yekini etc etc?
Haha hawa ni wazito wa 90s. Hii ilikuwa probably 2014/15 hapo
Another one Kenya played Nigeria in 2009 was also fixedWish fans could go. Nakumbuka gama fulani vs Nigeria pale Kasa where we lost 1-0.
Hiyo siku nilijua wachejazi wa kulipwa ni mo-fire. Wanyama na Obi Mikel were miles above everyone else but vile bao ya Naija iliingia, aki ya nani ata ungeshuta kila mtu kwa stadii angesikia. Kimya nayo!
Also attended that game I think it was Ahmed Musa (then with CSKA Moskow) who scored.Wish fans could go. Nakumbuka gama fulani vs Nigeria pale Kasa where we lost 1-0.
Hiyo siku nilijua wachejazi wa kulipwa ni mo-fire. Wanyama na Obi Mikel were miles above everyone else but vile bao ya Naija iliingia, aki ya nani ata ungeshuta kila mtu kwa stadii angesikia. Kimya nayo!
Yes it was that one..Also attended that game I think it was Ahmed Musa (then with CSKA Moskow) who scored.
True Mikel and Wanyama were miles above everyone else with simple things like ball control, composure with the ball and such like small details.
Kenya 0 - 1 Egypt. Half timeNachungulia game naona akina Pharao wametiakitu ndani
Kenya 0 - 1 Egypt. Half time
wacha tuone 2nd half vile kutakua