Kenya on Auto Pilot

MCMXCIII

Lister
IMG_20200329_151634.png
IMG_20200329_151648.png
IMG_20200329_151700.png
 
Ndio mtajua kuwa na job secure ya mwarim ni msuuuri. So far, mshahara inaingia kama kawa...then wacha tuone 25% PAYE...
Lakini gava ikikosa taxes mtaanza kufanyiwa salary cuts. Badala ya hiyo 18k unalipwa itakuwa unalipwa 9k kama Yule kijana wa cyber.
 
Back
Top