Gani?Tena wameprint hizi
Bana kuna jamaa nimeona kwa Citizen tv akisema ni business community anaitwa Abdalla, that guy is a hardcore thug from rom Mihang'o ma hio ni kazi ya Meja Donk (Riggy G's lieutenant) na mwingine anaitwa Kimei, huwanga kind of comedian kwa maevent za wakale, ni kama hii govt imeamua kucheza rough.
Tena wameprint hizi
Kasufuria na mwiko ndio zimebaki.