Lakini Mt Elgon was a special place, whatever was happening there matters land made the constituents very militant. Sasa in 2007, mwenye alitoa huyu alikuwa anaitwa Kapondi, moto zaidi, he was elected akiwa ndani.
DC alikuwa na office kwa mlima pale Kapsokwony, saa tisa ikifika hivi, yeye, ocs, all cops and other staff walikuwa wanarudi kulala Kimilili. 2008 KDF ikamwagwa huko