Hustler's Mashujaa Day

Kender9

Elder Lister
WSR angekua ndie president (Which he will never be BTW), things would have gone like this:
Mwandawiro: "Rais , kikosi kinachopita mbele ya jukwaa ni kikosi kiitwacho "Hustler's Nation" ulichokibuni wewe mwenyewe kikiongozwa na Muuzaji miwa Mkuu kwa jina .......(fill in), akiwa anaendesha rukwama baada ya ku upgrade kutoka kwendesha hurubaro, shukrani zoke kwako mtukutu Rais"
But again, if wishes were bones, @Mongrel s would munch.
 
FB_IMG_1603190201379.jpg
 
Back
Top