most dont have comprehensive insurance.Lakini kama una afford hii gari haufai ku cheap out on insurance. Hii haitaki posers! Soo tano kwenda juu in premiums annually
Wueh. Yaani hiyo repair inatosha kununua gari mbili na kuziingiza kwa ride hailing industry. Lanes my fren
Kwanza Landrover iko na allunium mob sana. Kuna mzee anitwa Kanyoni ananunuanga na bei poa sana.Comprehensive achia insurance, third party iuze vile iko
Mimi naomba tu 7k and you're about to spend millions on repairing a car, gari imetengenezwa na mikono ya binadamu baba!
Mimi naomba tu 7k and you're about to spend millions on repairing a car, gari imetengenezwa na mikono ya binadamu baba!
Poa sana!Niaje mresh?
Cheaper option haiko pale Grogon?Msitake jua what a C-check for a Cessna plane can cost. And this is a mandatory check done after x number of flight hours.
Hatar design ya noma!
Niaje mresh?
Fixed…you’re welcome!Vitz